Search This Blog

Tuesday 2 August 2016

MASUNDOSUNDO (GENITAL WARTS )

TIBA YA UGONJWA WA KUOTA KINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI (GENITAL WARTS & SKIN) 

FAHAMU UGONJWA WA MASUNDOSUNDO AU KUOTA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI (GENITAL WARTS & SKIN)
Habari rafiki, natumaini mnaendelea vizuri leo napenda kuzungumzia tatizo la kutokewa vinyama katika sehemu za siri na mwili au Masundosundo au vigwaru kwa kitaalamu tunauita GENITAL WARTS
~GENITAL WARTS ni nini?!!

~ni ugonjwa wa kuota vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando Laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri.
~vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), vulva, na shingo ya kizazi au maeneo yanayozunguka haja kubwa, ugonjwa huu huenezwa kwa njia ya kujamiiana (SEXUAL TRANSMITTED INFECTION (STI)
CHANZO CHA TATIZO HILI
Ugonjwa wa Masundosundo husababishwa na virus waitwao HUMAN PAPILLOMA VIRUS (HPV) hata hivyo Kuna Aina 70 tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani Kuna ambao wanasababisha Masundosundo katika mwili sehemu tofauti kama vile mikono, miguu, mgongoni, NK pia wapo wanaosababisha saratani ya shingo ya kizazi (CARCINOMA OF THE CERVIX),saratani ya uume na saratani ya njia ya haja kubwa (ANAL CANCER) kwa jinsia zote mbili
°ugonjwa huu wa Masundosundo umejitokeza kwa kiasi kikubwa baada ya kuwepo kwa janga la UKIMWI hivyo watu wenye wapenzi wengi, wanaofanya mapenzi kwa njia ya haja kubwa, wajawazito, watumiaji wakubwa wa sigara na pombe, watu wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo Wana hatari ya kupata tatizo hili.
DALILI ZA MASUNDOSUNDO
๐Ÿ‘‰mgonjwa wa tatizo hili hutokewa na vinyama Laini vidogovidogo vinavyojitokeza juu ya ngozi katika maeneo tofauti (MFANO HALISI TIZAMA KATIKA PICHA HIZO) ingawa wakati mwingine huwa ni vidogo kiasi cha kutoweza kuonekana kwa njia ya kawaida
๐Ÿ‘‰mgonjwa kupata ganzi maeneo yaliyozungukwa na Masundosundo
๐Ÿ‘‰kutokwa na uchafu sehem za siri na kuwashwa kupita maelezo
๐Ÿ‘‰kutokwa damu ukeni mara baada ya kufanya tendo la ndoa MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA HUU
°matibabu ya tatizo hili hupatikana kirahisi nchini Tanzania na tiba hutolewa kwa kufuata utaratibu wa Majibu yaliyopatikana katika vipimo mbalimbali ambapo matibabu huwenda kuwa kufanyiwa operation kuondoa vinyama ingawaje tiba hii haina ufanisi mzuri kwasababu huweza kutengeneza madhara zaidi na uwezekano mkubwa wa kupata kansa hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa ambazo zitatibu na kuondoa tatizo hilo na mgonjwa kupona kabisa ila cha kuzingatia ni kwamba ugonjwa huu ni wa kuambikiza hivyo inashauriwa wenza wote kupata matibabu hata kama atajihisi hana dalili yoyote ni vyema akafanya vipimo ili kujihadhari kabla ugonjwa haujaleta madhara zaidi na uwezekano mkubwa ~Waswahili wanasema bora kinga kuliko matibabu hivyo ni bora ukaepuka ugonjwa huu kwa kuepuka yafuatayo
๐Ÿ‘‰EPUKA KUWA NA WAPENZI WENGI
๐Ÿ‘‰EPUKA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
๐Ÿ‘‰EPUKA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA, SIGARA NA POMBE
๐Ÿ‘‰ACHA ORAL SEX KAMA UTASHINDWA BASI KUA NA MPENZI MMOJA TU UTAKAYEKUA UNAMNYONYA SEHEMU ZA SIRI ZINGATIA MAPENZI NI UJUZI LAKINI AFYA YAKO NI MALI ZAIDI WADADA /WAKAKA WENGI MMEKUA MKIFANYA HIVI KWA LENGO LA KUWARIDHISHA KILA MNAOKUTANA NAO KIMWILI KITU KINACHOKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA TATIZO HILI AU KANSA YA KOO
NOTED :NDUGU RAFIKI Ugonjwa huu una madhara makubwa unaweza kusababisha kansa ya kizazi, kansa ya uume, kansa ya njia ya haja kubwa NK hivyo ni vyema ukapata matibabu ya uhakika iwapo una tatizo hili na kama hauna tatizo hili ni vyema ukajiepusha na ugonjwa huu  

Prepared by Dr Salim Amour
               Cardio_thoracic surgeon

9 comments:

  1. Naomba Contact zako Kaka, Nina tatizo hiloo

    ReplyDelete
    Replies
    1. After having a persistent cough for over a year, I was diagnosed with COPD
      in March 2015. In 2016 my COPD got worse to the point where not only do I
      have trouble sleeping at night, I also struggle to get air into my lungs. I
      read in a health forum of a herbal centre (native health clinic) who have successful treatment to COPD/Emphysema, i immediately
      contacted the herbal centre via their website and purchased the COPD herbal
      remedy, I used the remedy for 2 weeks, all my symptoms were reversed, i did
      another test for confirmation, i was declared COPD free. email (
      nativehealthclinic@gmail.com) or WhatsApp/Call him on +2348140073965

      Delete
  2. God bless Doctor abaka for helping me cure my herpes disease. Brethren, i have suffered herpes for a long period of time, i have tried so many remedy, but known seems to work. But i had contact with a herbal doctor who i saw so many people testifying on how they were all cured of their various disease and viruses by this doctor. So i explained my entire problem to him, and he promised to cure me. So i gave him all benefit of doubt, and behold he prepared the herbal mixture, and send it to me in my country. Today, i am proud to say i am herpes free, and my life has been restored to normal. So in case you are out there suffering from herpes and other diseases or virus, i want to tell you to quickly contact: abaka for your cure. His email is drabakaspelltemple@gmail.com or call +2349063230051.

    ReplyDelete
  3. Naomba namba yako mkuu nina tatizo hilo

    ReplyDelete
  4. Mawasiliano Dr watu tunateseka

    ReplyDelete
  5. I am from USA. I was suffering from HEPATITIS B for over 3 years, i was hopeless until one of my friend directed me to a herbal DR. Dr Chike on youtube, she said the Dr has herbal medicine that treat HEPATITIS B also said the Dr has helped people with. HERPES, CANCER, DIABETES, HPV, HERPES, HSV 1 .2, Fever, Fibromyalgia, Fatigue and chronic pains. I never believed her but after a lot of talk. I decided to contact him, just few days ago i contacted him and he told me what to do which i did and he sent to me a herbal medicine via {DHL} with prescriptions on how i will take it for a period of days. After i finished taking the medicine for 2 weeks he told me to go for a test which i also did and when the result came out i was surprised to see that i am negative. I am proud to tell you that I am the happiest person on earth. Big thanks to Dr Chike herbs .. I pray you find a solution in him. For more information on how to get treated Contact Dr on, text/call via: +1 (719) 629 0982 WhatsApp : +233502715551, or Facebook page, @ Dr Chike Herbal Remedy.

    ReplyDelete

  6. The best herpes remedy, email [robinsonbucler@] gmail com.................

    ReplyDelete
  7. Hello everyone I am Gerraca mattews by name, there is a herbal doctor who can help you get rid of your Herpes disease permanently. He also helps me get rid of mine. I really appreciate him for saving my life. You can contact the herbal doctor for help, here is email (Drakhigbeherbalhome5@gmail.com ) or WhatsApp +2349021374574, I wish you good health.

    ReplyDelete