Search This Blog

Wednesday 21 June 2017

ZIFAHAMU AINA YA DAWA 12 SALAMA KWA WAJAWAZITO




 

 makala zangu nyingi sana nimekua nikigusia swala la wajawazito na kukusisitiza kwamba watu hawa hawatakiwi watumie dawa yeyote bila kuandikiwa na daktari, niliwahi kuandika kuhusu dawa hatari kwa watu hawa

YAFAHAMU MADHARA YA KUANGALIA VIDEO ZA NGONO NA JINSI YA KUACHA.



                           


kuangalia video za ngono sio jambo jipya kwa jamii yetu, kimsingi ni watu wachache sana wanaweza kujizuia kujichua au kupiga punyeto baada ya kuangalia video za ngono.

MAMBO 10 MUHIMU YA KUZINGATIA UKIWA NA MTOTO CHINI YA MIAKA MITANO

                    

                                                                                           
wanaawake wengi wakishajifungua hupenda kuishi kwa mazoea au uzoefu hasa kwa kufuata bibi na mama wanasema nini kuhusu afya ya mtoto, sio vibaya lakini ni vizuri uwe makini sana kwani maisha yamebadilika sana na kuna mambo mengi yamepitwa na wakati na mengine ni hatari kiafya hivyo usikubali kila unachoambiwa na watu bila kukichuja

IFAHAMU HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEPALIWA

IFAHAMU HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEPALIWA..

kupaliwa ni nini?
hii ni hali ya kukabwa na kitu kwenye koo ya hewa, inaweza kua chakula kitu chochote ambacho mtu alikua anakichezea mdomoni na hatimaye kikaenda kukwama kwenye koo la hewa.