SALIM HEALTH CARE

Welcome to Salim healthcare that delivers relevant information in clear, free language that puts health into context in peoples' lives. Through medical content, insights from experts and real people, and breaking news, we answer: how it happened, what it feels like, what you can do about it, and why it matters.

Search This Blog

Sunday, 12 February 2023

๐Œ๐€๐Œ๐๐Ž ๐˜๐€ ๐Š๐”๐™๐ˆ๐๐†๐€๐“๐ˆ๐€ ๐Š๐”๐‡๐”๐’๐” ๐€๐…๐˜๐€ ๐˜๐€ ๐”๐Š๐„ (๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐ก๐ข๐ข ๐ข๐ง๐š๐ฐ๐š๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ)


๐Ÿ“šUke kwa kawaida Una asili ya Asidi, uke Una PH kati ya 3.5 hadi 4.5. Kwa maana hiyo Uke hujilinda wenyewe dhidi ya maambukizi ya bacteria, fungus na vijidudu vingine ๐Ÿ”จ

Hivyo basi, sehemu ya ndani ya uke haihitaji uioshe wala kuisugua wala kuifanyia usafi wowote ule ๐Ÿ”จ
Sehemu unayopaswa kuosha katika uke ni sehemu ya nje (mshavu, kinembe n.k) , na utaziosha sehemu hizo kwa kutumia maji safi na sabuni zisizo na dawa wala harufu au manukato ( Mfano waweza tumia sabuni kama Jamaa , Dove nk )


๐Ÿ“šWANAWAKE wengi huugua magonjwa kama Fungus, UTI, PID na maambukizi mengine katika tumbo la uzazi, kwa kufanya makosa machache tu kuhusu namna ya kujisafisha na kulinda afya ya uke


๐Ÿ“คZingatia mambo haya ya msingi


1. Usitumie sabuni zenye kemikali, manukato au dawa kuoshea uke, tumia sabuni za kawaida (Mfano, dove n.k ) na uoshe sehemu ya nje tu
Ukiosha sehemu za ndani za uke utajisababishia magonjwa kama bacterial vaginosis na hata fungus maana utaharibu Uasidi katika uke, ambao hufanya kazi ya kulinda uke dhidi ya maradhi


2. Ukiweza tumia maji ya vuguvugu kuoshea sehemu ya nje ya uke. Maji ya vuguvugu yanatosha kabisa hata kama hutotumia sabuni za kawaida . Ila unapokosa maji ya vuguvugu basi waweza tumia maji safi hata kama sio ya vuguvugu 


3. Wakati wote hakikisha unajikagua na unajua uke wako unatoa ute wa namna gani, kila ute utokao una kueleza kuhusu afya yako ya mfumo wa uzazi ๐Ÿ˜Š. Huoni ni kazi rahisi sana kufatilia afya yako ya uke?


4. Ikiwa ute unaokutoka ni mweupe (Sio mara zote ) , njano, kijani au kahawia, basi huashiria kuwa unamagonjwa, mfano bacterial vaginosis, trichomoniasis (ugonjwa wa zinaa) , PID n.k , hapo ni vema uonane na daktari.


5. Uke huwa na harufu yake ya kipekee, nikawaida kabisa uke kuwa na harufu, lakini endapo harufu hiyo ya kawaida itabadilika basi ni dalili kubwa kabisa kwamba unaugonjwa. Mfano harufu kama shombo ya samaki hii huashiria kuwa Una ugonjwa unaitwa bacterial vaginosis (Hutokea pale ambapo bacteria wabaya huzidi na wale wazuri hupungua sana)


6. Hakikisha unajisafisha kutoka mbele kwenda nyuma. Fanya hivo kila ujisafishapo

7. Kama unahisi muwasho na maumivu ukeni, usihisi au kujipa majibu mwenyewe kwamba itakua fungus.
Kwasababu sio miwasho yote au maumivu ukeni husababishwa na fungus, bali dalili hizo zaweza sababishwa na ugonjwa unaoitwa BV (Bacterial vaginosis ) au magonjwa ya zinaa (mfano Trichomoniasis) n.k


8. Sio mda wote unavaa chupi au boxer ukidhani unalinda usalama na afya ya uke, sehemu hizo zinahitaji hewa na zisibanwe mda wote paache papunge upepo ๐Ÿ˜Š . Ukiwa nyumbani na umekaa mazingira tulivu au usiku ukiwa umelala pendelea kuwa free, usivae nguo za ndani, labda tu kama utakua katika hedhi ๐Ÿ”จ


9. Hakikisha unatumia nguo za ndani ambazo zimetengenezwa kwa pamba. Hizi husaidia hewa kupenya na kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya fungus.


10. Badilisha nguo ya ndani kila unapotoka katika shuguli zako za kila siku, au unapotoka katika shuguli Fulani na ukahisi jasho limekutoka sana, basi ni vema kubadili nguo ya ndani baada ya kuoga.


11. Unapokua mkavu ukeni wakati wa tendo , usitumie tu mafuta yoyote yaliyopo mbele yako. Mfano wapo ambao hutumia mafuta ya mgando kama vile vaseline, babe care n.k. Mkumbuke hayo mafuta hayaendani kabisa na wala hayakutengenezwa kwa matumizi hayo, uke unahitaji uasidi na mazingira yake kutovurugwa ili usipate maambukizi ya fungus au bacteria. Badala yake nenda pharmacy na uulizie vilainishi vyakusaidia wakati wa tendo, utapatiwa


12. Ukiona Mabonge makubwa makubwa ya damu wakati upo period, onana na daktari akusaidie. Hali hiyo huweza sababishwa na uwepo wa uvimbe katika tumbo la uzazi, au tatizo la endometriosis . Zipo dawa za kukusaidia, kama hormonal replacement therapy


13. Pendelea kupima afya yako mara kwa mara. Jambo hilo litakusaidia uepukane na maambukizi sugu, na kutatua tatizo lako mepema. Mfano magonjwa kama UTI, BV, yasipotibiwa mapema basi huweza kuleta madhara makubwa .


Note : Sio kila Ute mweupe /Kijivu/kahawia unaokutoka ukeni ni kwasababu unaumwa hapana , ila endapo unakutoka mwingi kiasi cha kulowesha nguo zako za ndani ni tatizo , muwasho , maumivu nk


UMEJIFUNZA NINI? Au UMEPENDA NINI ?
By Dr Salim Salim health care at Sunday, February 12, 2023 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Page 1 of 6412345...64Next ยปLast
Subscribe to: Posts (Atom)
Fitness & Exercise Calculator
Activity
Time (hrs or mins)
Distance
Gender
Height
Weight
Age
Calculate
Computing...
Get this widget
Build your own widget ยปBrowse widget gallery ยปLearn more ยปReport a problem ยปPowered by Wolfram|Alpha
Terms of use

Share a link to this widget:

More
Embed this widget ยป

DRUGS SEARCH

Drug Information Search

Medication search by Drugs.com

Blog Archive

Contact Form

Name

Email *

Message *

Featured post

๐Œ๐€๐Œ๐๐Ž ๐˜๐€ ๐Š๐”๐™๐ˆ๐๐†๐€๐“๐ˆ๐€ ๐Š๐”๐‡๐”๐’๐” ๐€๐…๐˜๐€ ๐˜๐€ ๐”๐Š๐„ (๐–๐š๐ง๐š๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐ก๐ข๐ข ๐ข๐ง๐š๐ฐ๐š๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ)

๐Ÿ“šUke kwa kawaida Una asili ya Asidi, uke Una PH kati ya 3.5 hadi 4.5. Kwa maana hiyo Uke hujilinda wenyewe dhidi ya maambukizi ya bacteria,...

HEALTH FINDER

Labels

  • Prepared by Dr Salim Amour Cardio_thoracic Surgeon
  • Food & Nutrition
  • Healthy Sleep
  • Beauty & Skin Care
  • Nutrition
  • BEAUTY
  • Sleeping Disorders
  • HEART TREATMENT
  • HEART DISEASE
  • HEALTH FITNESS
  • Cholesterol
  • Authority Nutrition
  • Skin Problems
  • Weight loss
  • Cholesterol Compication
  • Cholesterol Treatment
  • Fitness & Exercise
  • Blood pressure medication
  • Brown Seaweed
  • Heart Health
  • Nutritious Nightshade Plants
  • Passionflower
  • Plastic Surgery
  • Pregnancy and hypertension

Text Widget

Blog Archive

  • February (1)
  • October (4)
  • September (5)
  • March (2)
  • November (3)
  • July (2)
  • February (1)
  • July (5)
  • April (2)
  • February (4)
  • January (4)
  • November (14)
  • October (30)
  • September (129)
  • August (71)
  • July (49)
  • June (4)
  • May (8)
  • April (5)
  • February (3)
  • January (1)
  • November (1)
  • October (17)
  • September (8)
  • August (9)

Recent Posts

Pageviews TODAY

184865

SYMPTOMS CHECKER

Symptom Checker
Submit
Build your own widget ยปBrowse widget gallery ยปLearn more ยปReport a problem ยปPowered by Wolfram|Alpha
Terms of use

Share a link to this widget:

More
Embed this widget ยป

Connect With Us

Our Mission

We want to be your most trusted ally in your pursuit of health and well-being.

How you feel affects every precious day of your life.Salim healthcare understands that, which is why weโ€™re committed to being your most trusted ally in your pursuit of health and well-being.

You can depend on us to provide expert content along with genuine caring. Both of which will support, guide, and inspire you toward the best possible health outcomes for you and your family.

Bottom line: Weโ€™re human, just like you. We know that peace of mind can make all the difference in how you feel. So weโ€™ll be here when you need us.


RANDOM POST

  • Benign Positional Vertigo
    Benign Positional Vertigo

    What Is Benign Positional Vertigo? Benign positional vertigoโ€ฆ
  • ASTHMA  (PUMU)
    ASTHMA (PUMU)

    Ufahamu ugonjwa wa pumu  Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko uvimbe sugu mwilini kwenye mirijaโ€ฆ
  • Making Sense of Hypertensive Retinopathy
    Making Sense of Hypertensive Retinopathy

    What Is Hypertensive Retinopathy? The retina is the tissueโ€ฆ
  •  The Science of a Broken Heart
    The Science of a Broken Heart

    Heartbreak. That sinking feeling inside that tears youโ€ฆ
  • Central Sleep Apnea
    Central Sleep Apnea

    What Is Central Sleep Apnea? Central sleep apnea is a sleep disorder in whichโ€ฆ

About Me

Salim health care
View my complete profile

Popular Posts

  • ZIFAHAMU AINA YA DAWA 12 SALAMA KWA WAJAWAZITO
       makala zangu nyingi sana nimekua nikigusia swala la wajawazito na kukusisitiza kwamba watu hawa hawatakiwi watumie dawa yeyote bil...
  • MASUNDOSUNDO (GENITAL WARTS )
    TIBA YA UGONJWA WA KUOTA KINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI (GENITAL WARTS & SKIN) 
  • ๐‘ฝ๐‘ฐ๐‘ซ๐‘ถ๐‘ต๐‘ซ๐‘จ ๐‘ด๐‘ซ๐‘ถ๐‘ด๐‘ถ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ต๐‘จ ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ฉ๐‘จ ๐’€๐‘จ๐‘ฒ๐‘ฌ (๐‘ด๐’๐’–๐’•๐’‰ ๐’–๐’๐’„๐’†๐’“๐’”)
    Vidonda vya mdomoni ( Mouth ulcers) huweza kupelekea muhusika kushindwa kufurahia chakula anachokula au hata maongezi nk Vidonda vya mdomoni...
  • IFAHAMU HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEPALIWA
    IFAHAMU HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEPALIWA.. kupaliwa ni nini? hii ni hali ya kukabwa na kitu kwenye koo ya hewa, inaweza kua chakula...
  • Zifahamu sababu na tiba ya muwasho Sehemu za siri
    By Dr Salim Amour Kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani kujumuisha maradhi ya uke kwa wanawake au muwasho na ...
  • Maambukizi ya Fangasi katika Sehemu za Siri
    Maambukizi ya Fangasi katika Sehemu za Siri (v.Candidiasis) Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya ...
  • MENO YAWE MEUPE NA MUONEKANO BOMBA
    Meno ni kiungo cha ajabu sana ambapo kinapokua na muonekano mzuri hukufanya uwe na furaha na tabasamu zito mbele ya wenziwako. Na kinyume...
  • Healthy Energy Drinks: Is There Such a Thing? healthy energy drinks
    Whether itโ€™s before a long day at the office, a hard workout, or an all-night study session, many of us turn to energy drinks ...
  • YAFAHAMU MADHARA YA KUANGALIA VIDEO ZA NGONO NA JINSI YA KUACHA.
                                kuangalia video za ngono sio jambo jipya kwa jamii yetu, kimsingi ni watu wachache sana wanaweza kuj...
  • How to Make Homemade Deodorant
    The Top Kid-Safe Deodorants for Sensitive Skin You may want to keep your child a baby forever, but kids grow up fast. In the blin...
SALIM HEALTH CARE @2018. Powered by Blogger.
Symptom Checker
Submit
Computing...
Get this widget
Build your own widget ยปBrowse widget gallery ยปLearn more ยปReport a problem ยปPowered by Wolfram|Alpha
Terms of use

Share a link to this widget:

More
Embed this widget ยป