Ugonjwaa huu kitaalam tunaita constipation
mtu hukosa choo siku tatu au mpaka wiki nzima na akipata basi ni kidogo sana na kikavu mpaka anakua akiskia maumivu
CHANZO CHA TATIZO HILI LA KUTOPATA CHOO
~tatizo hili husababishwa zaidi na ulaji mbovu wa vyakula na kutokujizoesha kwenda haja mara kwa mara pia kula vyakula vilivyokobolewa na matumizi mabaya ya dawa na magonjwa mengine pia mabadiliko ya hormone
DALILI ZA KUTOPATA CHOO
~dalili za tatizo hili ni รท
๐KUPATA HOMA KALI
๐KUTETEMEKA KWA BARIDI
๐KUTUMIA NGUVU NYINGI NA MUDA MWINGI KUJISAIDIA
๐ULIMI KUWA NA UTANDU MWEUPE NA KUTOA HARUFU MBAYA
๐KUKOSA HAMU YA KULA
๐TUMBO KUJAA GESI
๐KUPATA VIDONDA SEHEMU YA NNJE YA HAJA KUBWA
NAMNA YA KUTIBU NA KUEPUKA TATIZO LA KUTOPATA CHOO
~matibabu ya tatizo la kutopata choo kwa ufup ni magumu na marahisi pia kutokana na ukubwa wa tatizo pia hata hivyo kila mtu anaweza kujikinga na tatizo hili kwa kufuata kanuni za ulaji wa lishe bora kwasababu tatizo la kutopata choo husababishwa na namna unavyokula au kuishi hivyo ukifuata kanuni za lishe bora tatizo hili halitakupata hivyo njia sahihi ya kujikinga na tatizo la kutopata choo ni kula nafaka zsizokobolewa, matunda, mbogamboga na maji kwa wingi
~matibabu hufanyika kwa kuangalia ukubwa wa tatizo na Hali ya mhusika kwan matibabu ya mtoto sio sawa na ya mtu mzima mwenye miaka 70 Hali kadhalika tatizo hili likijulikana mapema huwa rahisi kulikabili tofauti na tatizo la mda mrefu ambapo tiba Yake huweza kuwa kubwa haswa ambapo tiba Yake huhusisha vidonge na chakula na hata kufanyiwa upasuaji kuondoa kinyesi kilichoganda katika damu na kuendelea na matibabu ya chakula
MADHARA YA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU
~madhara ya kukosa choo kwa Muda mrefu niรท
๐KUPATA SARATANI YA UTUMBO
๐FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI
๐KUPATA PRESHA NA KUPATA UGONJWA WA INI
๐KUPATA MAGONJWA YA MOYO NK
KUMBUKA :zingatia kula milo mitatu kila siku, kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi (high fibre diet), kunywa maji mengi na fanya mazoezi mara kwa mara pia usizoee kutumia dawa za kemikali ovyo ovyo ovyo
No comments:
Post a Comment