Search This Blog

Wednesday, 24 May 2017

Dawa Za Aina 20 Zinazoweza Kukusababisha Uwe Na upungufu wa Kumbukumbu

Image result for medicine


Asilimia kubwa ya vifo hasa kwa nchi zilizoendelea ni matokeo mabaya ya matumizi ya madawa. Dawa zinasababisha vifo vya watu zaidi ya 100,000 kwa mwaka, na zaidi ya watu milion 1.5
wamepata matatizo mengine zaidi baada ya kutumia dawa.

Hizi dawa zimegawanywa katika makundi matatu, ambazo zinaweza kukusababishia kusahau:
1.Dawa za usingizi
Dawa za usingizi mara nyingi zinasababisha upungufu wa kumbukumbu, na zinaweza kukusababishia hali ya kama kuzimia au kama mtu alielewa. Kwa hiyo dawa hizi haziwezi kukupa usingizi unaotakiwa hili mwili uweze kujiponya.
Dawa maarufu ijulikanayo kwa jina Ambien, inafahamika kama "amnesia drug", (dawa ya usahaulifu)
VIDONGE VYA USINGIZI.jpg
2.Dawa za kupunguza mafuta mwilini
Hizi dawa ni dawa zenye uwezo mkubwa wa kuharibu ubongo, na zinatumika kushusha viwango vya choresterol mwilini.Hii ni kutokana na sababu kwamba 1/4 ya ubongo ina choresterol, inayohitajika kwa ajili ya kufikiria,kumbukumbu, na kujifunza.Hata hivyo dawa hizi zinasababisha usahaurifu na matatizo mengine ya kiafya.
3."Anti" Drugs
Zote antibiotic, antihistamines, antidepressants, antipsychotics, antispasmodics, zinadhuru uwiano wa acetylcholine kwenye mwili, ambayo ni muhimu sana inayohitajika kwa kumbukumbu na kujifunza.
Kwa ujumla hizi ni dawa zinazosababisha usahaulifu
-Antibiotic
-sleeping pills-Ambien,Lunesta,Sonata
-Painkillers-morpine,codeine,heroin
-Insulin
-Epilepsy-Dilantin au phenytoin
-Barbiturates-Nembutal,Phenobarbital,seconal,Amytal
-Antipsy-Mellaril,Haldol
-Parkinson disease-astropine,glycopyrrolate,scopolamine
-Benzodiazepines-Xanax,Valium,Dlmane,Ativan
-Quinidine
-Beata blockers
-High blood pressure drugs
-Interferons
-Naproxen
-Tricyclic antidepressants
-Methyldopa
-Lithium
-Antihistamines
-Steroids
Kama utatumia dawa hizi, hakikisha kuwa unawasiliana na daktari wako ili achunguze kama dawa hizi zitaweza kukupotezea kumbukumbu zako

No comments:

Post a Comment