Welcome to Salim healthcare that delivers relevant information in clear, free language that puts health into context in peoples' lives. Through medical content, insights from experts and real people, and breaking news, we answer: how it happened, what it feels like, what you can do about it, and why it matters.
Saratani ya Uke hutokea mara chache sana kuliko saratani zingine. Huwa asilimia 1 tu kati ya saratani zote ambazo hutokea katika mfumo wa uzazi wa mwanamkeKuna aina tatu za Saratani ya kizazi :
Fibroids ni uvimbe wa misuli laini wenye mizizi ya kuiunganisha unaoota na kukua kwenye mfuko wa uzazi ( uterus ) . Majina mengine ya uvimbe huu ni uterine fibroids, myomas, au fibromyomas. Fibroids ni aina ya uvimbe unaoonekana kwa wingi zaidi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke.
๐ Ulimi wa mtu kwa kawaida hautakiwi kuwa na mipasuko ya aina yoyote . Sasa hawa watu wenye ulimi uliopasuka huwa hawana maumivu , isipokua tu labda kama kuna chakula kimekwama kwenye hiyo mipasuko ndio muhusika atahisi maumivu
Vidonda vya mdomoni ( Mouth ulcers) huweza kupelekea muhusika kushindwa kufurahia chakula anachokula au hata maongezi nk
Vidonda vya mdomoni huweza kuwa vikubwa au vidogo kulingana na sababu zilizopelekea kidonda hicho , kwa kawaida vidonda hivi hupona kati ya siku 7 hadi 14 . Lakini endapo ni vikubwa huweza kuchukua muda mrefu kupona
An abdominal aortic aneurysm is an enlarged area in the lower part of the major vessel that supplies blood to the body (aorta). The aorta runs from your heart through the center of your chest and abdomen.
Sometimes the reminders we need the most show up in unexpected ways I sat outside on our deck, slowly sipping the tea that someone had recommended to help medry up my breast milk. It had been a long, hard few weeks since we brought our youngest daughter home from the hospital after her NICU stay. I was feeling defeated on pretty much every level.
This was my fifth baby and, in my mind, I should have had this whole parenting thing down by now, right? But instead, I was struggling so much.