Swala la damu kutoka puani ni la kawaida (Hutokea kwa watu wengi mara kwa mara hasa utotoni. Inaweza kukutisha lakini ni mara chache sana ikaonesha tatizo la kutisha /Kubwa
Pua huwa na mishipa mingi sana ya damu ambayo ipo nje nje sana hasa maeneo ya mwanzoni mwa pua na mwishoni ( Ndani ya pua)Mishipa hii ni mirahisi sana kupasuka tena kwa haraka. Hali hii huwatokea zaidi watoto kati ya umri wa miaka 3 hadi 10